Rais akabidhiwa mapendekeo ya katiba
Rasimu mpya ya katiba imewasilishwa rasmi kwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete jana.
View ArticleUturuki, NATO na Marekani zakutana kuhusu IS
Wanamgambo wa Dola la Kiislamu leo wamechukua thuluthi moja ya eneo la mji muhimu wa mpakani nchini Syria, Kobane, wakati Uturuki ikikataa kuyatuma majeshi yake kwenda kupambana na wapiganaji hao wa...
View ArticleMaoni: Siku Ujerumani ilipofanya mapinduzi kwa amani
Tarehe 9 Oktoba 1989, anasema Alexander Kudascheff, ni siku ya mapinduzi ya amani nchini Ujerumani ambapo maandamano yaliyoanza siku hiyo ndiyo yaliyochochea kuporomoka kwa mfumo wa kikomunisti.
View ArticleBundesliga kutumia Spray inayofutika haraka
Kuanzia Oktoba 18, spray inayofutika haraka itaanza kutumika katika ligi za daraja tatu kuu za kandanda Ujerumani, wakati wa kupigwa mipira ya freekick. Maafisa wamesema hakuna sababu yoyote ya...
View ArticleÖzil aachwa nje ya kikosi cha Ujerumani
Kiungo wa Ujerumani Mesut Özil amewachwa nje ya timu ya Ujerumani itakayoshiriki mechi ya kufuzu katika dimba la Euro 2016 kutokana na jeraha la goti na sasa atakuwa mkekani kwa miezi mitatu.
View ArticleUturuki yasema haiwezi kupigana peke yake nchini Syria
Uturuki leo imeyaambia mataifa ya magharibi kuwa haiwezi kutarajiwa kuongoza peke yake operesheni ya kijeshi ya ardhini dhidi ya wapiganaji wa jihadi nchini Syria.
View ArticleMaafisa wa fedha duniani kuchukua hatua za kuukuza uchumi
Maafisa wa fedha kutoka nchi zenye nguvu zaidi kiuchumi duniani wanahimimizwa kuchukua hatua madhubuti kuepusha uchumi wa dunia usitumbukie katika mkwamo mpya ambapo ukuaji wa uchumi umesalia katika...
View ArticleMapambano yanaendelea kuudhibiti Kobane
Jopo la wanajeshi wa Marekani na Uturuki watakutana wiki ijayo mjini Ankara kujadili mapigano dhidi ya wanamgambo wa IS baada ya Marekani kuibinya Uturuki kujiunga na muungano wa kijeshi unaoongozwa na...
View ArticleMalala na Satyarthi washinda Tuzo ya Amani ya Nobel
Msichana mwanaharakati wa Pakistan, Malala Yusufzai, na mpiganiaji wa haki za watoto wa India, Kailash Satyarthi, ndio washindi wa mwaka huu wa Nishani ya Amani ya Nobel
View ArticleKesi ya Kenyatta katika ICC yaangaziwa zaidi
Gazeti la mrengo wa kushoto la Tages Zeitung linalotoka mjini Berlin, lilikuwa na makala wiki hii kuhusu kesi dhidi ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuhusiana na uhalifu dhidi ya binaadamu
View ArticleLotus kutumia injini za Mercedes msimu ujao
Katika mashindano ya magari ya Formula One, Timu ya Lotus imetangaza kuwa itaacha kutumia injini za Renault kwenye magari yake na badala yake itatumia injini za kampuni ya Mercedes 2015.
View ArticleVifo vya Ebola vyapindukia 4,000
Idadi ya vifo vya Ebola imeripotiwa kupindukia 4,000, huku muunguzi wa Kihispania akipigania maisha yake Jumamosi, na serikali za mataifa zikijaribu kutuliza wasiwasi kuhusiana na ugonjwa huo hatari.
View ArticleEbola yaiweka dunia kwenye taharuki
Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonya idadi ya watu waliokufa kwa ugonjwa hatari wa Ebola imepindukia 4,000 na kama hali haikudhibitiwa haraka zaidi ya watu milioni 1 watakuwa wameambukizwa kufikia...
View ArticleMkanganyiko wa Rasimu ya Katiba Tanzania
Wakati Bunge Maalum la Katiba likimaliza vikao vyake na kukabidhi kile kinachoitwa "Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa", maswali yanayozuka ni pamoja na hatima ya Tanzania ndani ya rasimu hiyo tata.
View ArticleMarekani yakiri mapambano ya mjini Kobani ni magumu
Waziri wa ulinzi wa Marekani Chuck Hagel amesema siku ya Jumamosi kuwa mji wa Syria wa Kobani ni tatizo kubwa na gumu, lakini mashambulizi ya angani yamepiga hatua katika kuwarudisha nyuma wapiganaji...
View ArticleMorales azoa ushindi wa kishindo
Rais Evo Morales wa Bolivia amepata ushindi mkubwa na kuepuka uchaguzi wa marejeo, akirejea madarakani kwa muhula wa tatu na akiuita ushindi huo kuwa ni ushindi kwa mageuzi makubwa ya kisoshalisti.
View ArticleUturuki yakubali kujiunga na mapambano dhidi ya IS
Uturuki imeikubalia Marekani kutumia kambi zake za kijeshi kufanya mashambulizi ya angani dhidi ya wanamgambo wenye itikadi kali wa dola la kiislamu- IS huku wapiganaji wa kikurdi wakiendelea kupambana...
View ArticleGaza,Afghanistan na Ukraine Magazetini
Mkutano wa wafadhili wa Gaza mjini Cairo,uamuzi wa rais Putin wa Urusi kuviamuru virejee nyuma vikosi vya Urusi toka mpaka na Ukraine na hatima ya Afghanistan baada ya mwaka 2014 Magazetini
View ArticleWahudumu wa afya wagoma Liberia
Kiongozi wa chama cha wahudumu wa afya Liberia, nchi ilioathirika pakubwa na ugonjwa hatari wa ebola, amesema wahudumu hao wameanza mgomo kudai nyongeza ya mshahara kufuatia huduma yao wanayoitoa kwa...
View ArticleAfisa wa magereza ataka Pistorius apewe kifungo cha nyumbani
Mawakili wa Oscar Pistorius wanataka mwanariadha huyo wa Afrika Kusini asipewe adhabu ya kifungo Jela, wakisisitiza kuwa anajutia kitendo chake na kuwa ni mtu wa tabia nzuri
View Article