Peter Mutharika: Kutoka mshtakiwa wa uhaini hadi rais
Peter Mutharika, ambaye alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa Malawi siku ya Ijumaa, anajiandaa kuchukuwa hatamu ya uongozi wa taifa hilo maskini la kusini mwa Afrika chini ya kivuli cha mashtaka ya uhaini.
View ArticleLöw achagua kikosi chake cha mwisho
Kocha wa Ujerumani Joachim Löw amekitaja kikosi chake cha mwisho. Marcel Schmelzer, Kevin Volland na Shkodran Mustafi wote hawatasafiri kushiriki katika dimba la Kombe la Dunia nchini Brazil.
View ArticleUjerumani yawasili Brazil tayari kumenyana
Ujerumani ni miongoni mwa timu nyingi zilizowasili nchini Brazil kusubiri kuanza kwa dimba la Kombe la Dunia litakalofunguliwa rasmi Alhamisi Juni 12 hadi Julai 13
View ArticleBunge la Israel lamchagua Rais mpya
Bunge la Israel leo linamchagua rais wa kumi wa kuliongoza taifa hilo atakayechukua wadhifa huo kutoka kwa Shimon Peres ambaye muda wake wa kuhudumu unakamilika mwezi ujao
View ArticleBlatter awashambulia wakosoaji wa FIFA
Viongozi wa soka ulimwenguni wanakutana mjini Sao Paulo -Brazil wakati kukiwa na hofu kuhusiana na kitisho cha mgomo wa wafanyakazi wa treni za chini ya ardhi kuvuruga sherehe za Kombe la Dunia
View ArticleWapiganaji waukamata mji wa Mosul
Polisi na wanajeshi nchini Iraq wamevikimbia vituo vyao katika mji wa kaskazini wa Mosul baada ya wapiganaji kukamata makao makuu ya serikali ya jimbo hilo pamoja na majengo mengine muhimu.
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya mashambulio ya Karachi
Pamoja na masuala mengine wahariri leo wanatoa maoni juu ya mashambulio ya kigaidi yaliyofanyika kwenye uwanja wa ndege nchini Pakistan, Rais mpya wa Israel na juu ya Juncker
View ArticleWanamgambo washambulia kituo cha usalama Pakistan
Wapiganaji wa Taliban wamekishambulia kituo cha usalama nje ya uwanja wa ndege wa Karachi nchini Pakistan, ikiwa ni siku moja baada ya shambulizi la usiku kucha lilofanywa na wanamgambo hao kuwaua watu 37
View ArticleUkraine kuweka eneo la usalama kwa raia
Rais mpya wa Ukraine Poroshenko amewaamuru maafisa wa usalama kuweka eneo salama ili kuwawezesha raia kupita kutoka majimbo ya mashariki yaliyokumbwa na mapigano dhidi ya wanaotaka kujitenga wanaoiunga...
View ArticleIsrael yapata rais mpya
Reuven Rivlin amechaguliwa na bunge la Israel 10.06.2014 kuwa rais mpya wa taifa hilo la kiyahudi akichukuwa mahala panapoachwa na Shimon Peres
View ArticleViongozi wa Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wamekubaliana kuunda serikali ya mpito katika kipindi cha siku sitini zijazo ili kujaribu kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe
View ArticleZiara ya Naibu Spika Claudia Roth nchini DRC
Naibu spika wa bunge la Ujerumani Bi Claudia Roth, yuko ziarani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
View ArticleUrusi na Ukraine zajadili bei ya gesi
Mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine kuhusu bei ya gesi yameanza tena mjini Brussels, huku Ukraine imekataa punguzo lililotangazwa na Urusi. Waziri mkuu wa Ukraine Arseny Yatsenyuk amesema wanataka...
View ArticleMüller, Lahm wasaini mikataba mipya na Bayern
Thomas Müller na Philipp Lahm wamesaini mikataba mipya itakayowaweka katikam klabu ya Bayern Munich hadi mwaka wa 2019 na 2018. Wachezaji hao wako Brazil katika kikosi cha Ujerumani cha Kombe la Dunia.
View ArticleBrazil iko tayari kwa Kombe la Dunia
Rais Dilma Rousseff amewaomba Wabrazil kuungana pamoja kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2014, akisema taifa liko tayari. Migomo na maandamano kuhusiana na gharama za maandalizi vinatishia tamasha hilo
View ArticleWanamgambo nchini Iraq wauteka mji wa Tikrit
Wanamgambo wa kundi lenye mafungamano na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda nchini Iraq wameuteka mji wa Tikrit, mji wa pili kuudhibiti katika kipindi cha wiki moja na wanaripotiwa kuusogelea mji mkuu Baghdad
View ArticleMapigano kati ya majeshi ya DRC na Rwanda
Mapigano makali yameripotiwa kati ya mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Rwanda hii leo. Mapigano hayo yalioanza jana kati ya wanajeshi wa nchi hizo mbili yamesemekana kusababisha mauaji ya...
View ArticleKombe la Dunia kuanza leo nchini Brazil
Baada ya matatizo ya kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa viwanja, na kutumia bajeti ya kupindukia katika maandalizi, hatimaye hii leo mashindano ya kombe la dunia la soka yanaanza kutifua vumbi nchini...
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya vita vya nchini Iraq
Wahariri wa magazeti wanatoa maoni juu ya vita vya nchini Iraq, silaha zinazouzwa nje na Ujerumani na pia wanatoa maoni juu ya mpango wa Ujerumani wa kuwapokea wakimbizi zaidi wa Syria
View ArticleBurundi: Uhasama wa kisiasa
Vijana wa Burundi wanazungumzia juu ya hali ya vijana kutovumiliana kisiasa baada ya kujikuta katika vyama tofauti vya kisiasa.
View Article