Bundesliga: Mapambano dhidi ya kushuka daraja wiki hii
Mchezo wa 24 wa Bundesliga unavutia zaidi katika timu zinazowania kujinasua katika hatari ya kushuka daraja. Timu nane zinachungulia mlango kuelekea ligi ya daraja la chini mwishoni mwa juma hili.
View ArticleMkwamo waongezeka ;Urusi yaonya vikwazo vitawarudia walioviweka
Urusi imesema kuwa vikwazo vyovyote vya Marekani vitakavyowekwa dhidi yake kuhusiana na mzozo wa Ukraine vitairudia Marekani na kwamba jimbo la Crimea lina haki ya kuamua mustakabali wake
View ArticleNdege ya shirika la ndege la Malaysia yatoweka angani
Wakati wa hatari zaidi kwa safari za ndege ni wakati wa kuruka na kutua. Ni mara chache matukio yanatokea wakati ndege inapaa hewani maili saba kutoka ardhini.
View ArticleAshton afanya ziara ya kihistoria Iran
Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Catherine Ashton, amesema hakuna uhakika ikiwa mataifa yenye nguvu duniani yatafikia makubaliano ya mwisho na Iran kuhusu mpango wake wa nyuklia.
View ArticleBan aitathmini UNAMID huku machafuko yakienea Darfur
Mji wa Saraf Omra katika jimbo la Darfur umeshambuliwa na mali kuibwa huku maelfu ya watu wakifukuzwa kutoka makazi yao mbali na watu 40,000 waliofukuzwa wiki iliyopita.
View ArticleUkraine yatafuta msaada wa kimataifa
Ukraine inatafuta msaada wa haraka kutoka kwenye mataifa ya Magharibi, baada ya Rais wa Urusi, Vladmir Putin kusisitiza kuwa Crimea ina haki ya kujiunga na Urusi, hata kama imeonyesha utayari wake kwa...
View ArticleWatawa 13 waachiwa huru Syria
Watawa waliotekwa nyara katika kijiji kimoja nchini Syria wameachiwa huru leo asubuhi kutokana na mpango usio wa kawaida, wa ubadilishanaji wafungwa katika takriban miaka mitatu ya mapigano nchini humo.
View ArticleStuttgart yateua kocha mpya kuinusuru kushuka daraja
Bayern Munich yazidi kupata mafanikio katika Bundesliga msimu huu,wakati katika nafasi ya kushuka daraja Stuttgart yaachana na kocha wake Thomas Schneider na kumteua Huub Stevens kuiokoa timu hiyo...
View ArticleKesi dhidi ya Uli Hoeneß yaanza
Kesi ya mwenyekiti wa timu bingwa na mashuhuri ya ligi kuu ya Ujerumani Bayern Munich,Uli Hoeneß aliyeshitakiwa kwa makosa ya kukwepa kulipa kodi ya mapato na mzigo wa madeni barani Ulaya magazetini
View ArticleUNICEF yasema Syria ni hatari sana kwa watoto
Katika ripoti yake ya jana shirika la UNICEF limesema maelfu ya watoto wamenasa katika maeneo yaliyozingirwa nchini Syria, huku mzozo wa nchi hiyo ukikamilisha miaka mitatu leo. (11.03.2014)
View ArticleKesi ya Uli Hoeneß yagonga Vichwa vya Habari Nchini
Kesi ya kukwepa kulipa kodi ya mapato mwenyekiti wa timu ya Bayern Munich,Uli Hoeneß, kutoweka ndege ya shirika la ndege la Malaysia na kumbu kumbu za balaa la kinuklea la Fukushima
View ArticleUjerumani yasema EU huenda ikachukua hatua iwapo Urusi haitobadili msimamo wake
Ujerumani imesema Umoja wa Ulaya utajiepusha na malumbanao na Urusi kuhusu uvamizi wake katika eneo la Ukraine la Crimea, lakini Umoja huo utalazimika kujiandaa kuchukua hatua endapo Urusi haitobadili...
View ArticleVikosi vya Libya vyadhibiti meli ya mafuta
Serikali ya Libya imesema vikosi vyake vimeidhibiti meli ya mafuta yenye bendera ya Korea Kaskazini iliokuwa imetia nanga kwenye bandari inayoshikiliwa na wanamgambo wa mkoa ambako ilikuwa ikijaribu...
View ArticleWaziri mkuu wa Libya atimuliwa na bunge
Waziri mkuu Ali Zeidan ametimuliwa na bunge jana (11.03.2014) baada ya meli ya mafuta kutoka bandari ya mashariki ya al Sidra kuzikwepa meli za jeshi la majini na kuingia eneo la kimataifa la bahari ya...
View ArticleUkraine,Bajeti na Hoeneß magazetini
Uwezekano wa kujiunga Crimea na Urusi baada ya kura ya maoni ya jumapili ijayo,bajeti ya serikali kuu ya Ujerumani,na hatima ya mwenyekiti wa timu ya Bayern Munich Uli Hoeneß ni miongoni mwa mada...
View ArticleUkraine kutoivamia kijeshi Crimea
Rais wa mpito wa Ukraine, Oleksandr Turchynov amesema nchi yake haitalitumia jeshi lake kuizuia Crimea kujitenga, ili kuepukana na hatua ya kuuweka hatarini mpaka wake wa mashariki.
View ArticleIsrael yaushambulia Ukanda wa Gaza
Ndege za kivita za Israel zimeyashambulia maeneo 29 ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza usiku wa kuamkia leo (13.03.2014) kujibu mashambulizi ya maroketi ya Wapalestina katika taifa hilo la kiyahudi.
View ArticleViongozi wa IGAD wakutana Addis Ababa kuijadili Sudan Kusini
Viongozi wa nchi za kanda ya jumuiya ya ushirikiano wa kiserikali wa nchi za mashariki na pembe ya Afrika wanakutana leo,Ethiopia katika juhudi za kujaribu kutafuta amani Sudan Kusini
View ArticleMerkel aionya Urusi
Ujerumani imesema ikiwa Urusi itaendelea na msimamo wake katika mgogoro wa Ukraine, kutakuwa na janga kubwa sio tu kwa taifa hilo bali hata kwa Umoja wa Ulaya na Urusi yenyewe.
View ArticleZaidi ya raia milioni 9 wa Syria hawana makaazi
Shirika la kushughulikia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema mzozo wa Syria umesababisha mzozo mkubwa zaidi duniani wa wakimbizi kwani umesababisha zaidi ya raia milioni 9 wa Syria kuachwa...
View Article