Uganda: Rais Museveni kuwania tena urais mwaka 2016
Wabunge wa chama tawala nchini Uganda kwa kauli moja wanamtaka kiongozi wa chama chao ambaye pia ni rais wa nchi hiyo Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwania urais tena kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika...
View ArticleBayern Munich bado kiboko katika Bundesliga
Bayern Munich bado haina mshindani katika Bundesliga,Hamburg yatumbukia zaidi katika mzozo na hatari ya kushuka daraja, wakati VFB Stuttgart nayo haijaonja ushindi katika michezo mitano ya ligi mfululizo.
View ArticleWasemavyo wahariri wa Ujerumani Jumanne hii
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wamezungumzia juu ya kashfa ya kodi inayomkabili Meya Wowereit wa mji wa Berlin, ushiriki zaidi wa Ujerumani nchini Somalia, na mwaka mmoja tangu kujiuzulu kwa papa...
View ArticleMafuriko yaleta maafa nchini Burundi
Kazi ya uokozi wa miili ya watu waliokufa kufuatia mvua ukubwa iliyoambatana na upepo mkali usiku wa kuamkia jana inaendelea nchini Burundi.
View ArticleChina na Taiwan zakutana rasmi kwa mara ya kwanza
China na Taiwan leo(11.02.2014) zimefanya mazungumzo yao ya kwanza ya kiserikali tangu nchi hizo kutengana miaka 65 iliyopita baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ikiwa ni hatua muhimu ya kihistoria...
View ArticleUpinzani Syria kususia mazungumzo ?
Ujumbe wa upinzani wa Syria ulioko Geneva kwa duru ya pili ya mazungumzo ya amani umeonya kwamba haitoshiriki duru ya tatu ya mazungumzo hayo iwapo hakuna hatua yoyote ya maendeleo itakayofikiwa.
View ArticleUhuru wa vyombo vya habari Afrika mashakani: Ripoti
Ripoti ya Shirika la maripota wasio na mpaka mwaka 2014 linasema migogoro barani Afrika imezidisha hatari kwa uhuru wa kujieleza, likisema hali hiyo imedhihirika bayana nchini Mali na katika Jamhuri ya...
View ArticleMazungumzo ya Sudan Kusini hatihati
Juhudi za kuanzisha tena mazungumzo yenye lengo la kuumaliza mgogoro na mkwamo wa kisiasa nchini Sudan Kusini zinaonekena kugonga mwamba, wakati pande mbili zikizidi kushutumiana.
View ArticleMauaji ya kuangamiza jamii Afrika ya Kati
Mauaji ya kutokomeza jamii dhidi ya raia wa Kiislamu yanafanyika nchini Afrika ya Kati ambapo Shirika la Haki za Binaadamu la Amnesty International linasema wanajeshi wa kulinda amani wa kimataifa...
View ArticleSomalia yavunja masharti ya vikwazo vya silaha
Umoja wa Mataifa umesema hivi leo serikali ya Somalia inavunja masharti iliyopewa na Baraza la Usalama katika kulegezwa kwa marufuku ya silaha, na kwamba silaha zinazoingia huko zinaangukia mikononi...
View ArticleMaoni ya wahariri juu ya Spika wa Bunge la Ulaya Martin Schulz
Wahariri wanazungumzia juu ya hotuba ya Spika wa Bunge la Ulaya Martin Schulz iliyotifua zogo nchini Israel.Pia wanatoa maoni juu ya kuupa utawala wa Obama ruhusa ya kuendelea kukopa
View ArticleRibery harudi dimbani hadi Machi
Winga wa Bayern Munich, Franck Ribery, hataweza kurejea uwanjani hadi angalau mwezi Machi akiwa anauguza kidonda chake baada ya kufanyiwa operesheni ya makalio.
View ArticleWanajeshi wa Ulaya kutua CAR mwezi Machi
Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa kikosi chake kitakachopelekwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kitafanya hima kuunda ukanda salama katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui, ambako raia wataweza kukimbilia...
View ArticleMazungumzo ya Amani ya Sudan Addis Abeba
Serikali ya Sudan na waasi wameanza mazungumzo ya amani mjini Addis Ababa huku Umoja wa mataifa ukitoa wito wa kuwekwa chini silaha ili kumaliza miaka mitatu ya mapigano katika maeneo ya Kordofan na...
View ArticleKerry akutana na Rais Xi wa China
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry amekutana na Rais Xi Jinping wa China Ijumaa(14.02.2014)wakati kukiwa na mvutano wa maeneo ya bahari kati ya washirika wake Japani na Ufilipino dhidi ya...
View ArticleMuswaada wa kupinga ushoga kusainiwa Uganda
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema atasaini muswaada tata unaopinga ushoga na kuwa sheria kamili.
View ArticleWanamgambo wanyang'anywa silaha CAR
Wanajeshi wa kulinda amani wa Kimataifa walioko Jamhuri ya Afrika ya Kati wameingia nyumba hadi nyumba Bangui, kuwanyang'anya silaha wanamgambo wanaoshutumiwa kutekeleza visa vya uhalifu dhidi ya...
View ArticleUmoja wa Ulaya waiondolea vikwazo Zimbabwe
Umoja wa Ulaya umeondosha sehemu kubwa ya vikwazo dhidi ya Zimbabwe ukiacha vile vinavyomlenga Rais Robert Mugabe, uamuzi unaosadifiana na Mugabe kuwaachia huru wafungwa 2,000 wengi wao wanawake na...
View ArticleWasemavyo wahariri wa Ujerumani
Jumanne hii wahariri wanazungumzia kadhia ya mwanasiasa wa chama cha SPD Sebastian Edathy na mgogoro unaofukuta serikalini, sakata la Aksofu mkuu wa jimbo la Limburg na mgogoro wa wa kisiasa nchini...
View ArticleMazungumzo ya nyuklia ya Iran yaingia ngazi mpya
Mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na mataifa yenye nguvu duniani Jumanne (18.02.2014)yanaingia katika ngazi mpya ya kuwa na makubaliano yatakayo ondowa milele hofu kuhusu tamaa za Iran za kutengeneza...
View Article