Pande zinazopingana Syria kukutana , mazungumzo ya amani huenda yasifanyike
Baada ya siku kadha za uchelewesho na kushutumiana, pande zinazopigana Syria zitafanya mkutano wao wa kwanza leo Jumamosi (25.01.2014) kuanza mazungumzo ya kumaliza mzozo huo unaokaribia kutimiza miaka...
View ArticleMahasimu wa Syria wakutana ana kwa ana
Serikali ya Syria na upinzani hatimaye wamekutana ana kwa ana (Jumamosi 25.01.214) wakati mazungumzo magumu ya amani yanayodhaminiwa na Umoja wa Mataifa yakisonga mbele mjini Geneva.
View ArticleMazungumzo ya ana kwa ana yameanza
Mahasimu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria wamekutana kwa mara yakwanza ana kwa ana Jumamosi(25.01.2014)wakianzisha mazungumzo ya kumaliza karibu miaka mitatu ya mzozo uliosababisha watu...
View ArticlePendekezo la rais ni sumu
Polisi imepambana na waandamanaji waliolizingira jengo moja mjini Kiev Jumapili(26.01.2014) wakati serikali ya Ukraine ikiwa mashakani baada ya Rais Viktor Yanukovych kukubali kuwapa viongozi wa...
View ArticleMazungumzo ya Syria yaingia awamu muhimu
Mkutano wa kusaka amani ya Syria unaofanyika nchini Uswisi unatazamiwa kuanza hatua yake muhimu hivi leo huku mazungumzo yakiingia kwenye masuala ya kiasisa na wapinzani wakishikiza kuondoka kwa Rais...
View ArticleMachafuko yaendelea Jamhuri ya Afrika ya Kati licha ya kuwepo serikali mpya
Hali katika Jamhuri ya Afrika kati bado ni tete.Kiasi ya watu wanane wameuawa katika mji mkuu Bangui na maafisa wakuu wa kundi la waasi la Seleka wameripotiwa kuutoroka mji huo
View ArticleLeverkusen, Dortmund zaona vimulimuli
Ilikuwa ni wikendi yenye kisirani kwa mahasimu wa viongozi wa ligi Ujerumani Bundesliga, baada ya Bayer Leverkusen na Borussia Dortmund kushindwa kupunguza pengo baina yao na viongozi Bayern
View ArticleJeshi lamuidhinisha Sisi kuwania urais
Baraza Kuu la Kijeshi nchini Misri Jumatatu (27.01.2014) limemuidhinisha Jemedari Mkuu Abdel Fattah al- Sisi kuwania urais wa nchi hiyo.
View ArticleWatanzania wakabiliwa na upungufu mkubwa wa maji
Watanzania wanalaani hali ya hewa na kuongezeka kwa joto wakati usambazaji wa maji mijini ukidorora na huku mabishano yakizidi kuwa makali baina ya wakulima na wafugaji kuhusu matumizi ya vijito katika...
View ArticleBashir ataka ufufuo wa kisiasa, kiuchumi Sudan
Rais wa Sudan Omar Hassan Al-Bashir ametoa wito wa kuwepo na mwanzo mpya wa kisiasa na kiuchumi katika taifa lake lililoathiriwa na vita, umaskini na machafuko ya kisiasa.
View ArticleUhuru wa kujieleza na kukusanyika Rwanda wamulikwa
Rekodi ya Rwanda ya kuwafungulia mashitaka wanasiasa wanaomkashifu Rais wa nchi hiyo Paul Kagame inaogofya na kuwatia mzizimo wapinzani na wanaharakati wa haki za binadaamu nchini humo
View ArticleYanukovych akubali kujizulu kwa waziri mkuu
Rais Viktor Yanuckovych amekubali ombi la kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Mykola Azarov, masaa kadhaa baada ya Waziri Mkuu huyo kutangaza kujiuzulu kwa kile alichokiita kuwezesha mchakato wa kupatikana...
View ArticleMazungumzo ya Mashariki ya Kati kushindwa?
Kuna wasiwasi kwamba Israel na Palestina zinajitayarisha kushindwa kwenye mazungumzo ya sasa yanayosimamiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, na hivyo kukabiliwa na hali ngumu zaidi.
View ArticleObama aapa kuizunguka Congress
Rais wa Marekani Barack Obama ameapa kulizunguka bunge na kuchukua hatua kivyake ili kuwaimarisha watu wa tabaka la kati, akionyesha kukatishwa kwake tamaa na kasi ndogo ya kutunga sheria kwa upande wa...
View ArticleWanajeshi wa umoja wa ulaya kupelekwa Bangui
Baraza la usalama la umoja wa mataifa limependekeza kuwepo idadi ya wanajeshi zaidi ya elfu kumi katika Jamhuri ya afrika ya Kati kwa ajili ya kulinda amani.
View ArticleUkraine yatakiwa kuelekeza mustakabali wao
Wahariri wameangazia zaidi hii leo kuhusu hali nchini Ukraine , mkutano kati ya Umoja wa Ulaya na Urusi pamoja na mipango ya mafao ya uzee ya serikali ya mseto mjini Berlin.
View ArticleMkutano wa viongozi wakuu wa AU kuanza
Migogoro na hali mbaya za kibinadamu yakiwa ndiyo masuala yanayotarajiwa kukigubika kikao hicho badala ya masuala ya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo barani humo.Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan...
View ArticleCAR yataka wanajeshi zaidi wa kulinda amani
Hatua ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuidhinisha wanajeshi wa Umoja wa Ulaya kwenda Jamhuri ya Afrika ya Kati imepokelwa vyema, lakini waangalizi wanasema idadi yao haitoshelezi kuhakikisha...
View ArticleUjerumani injini ya Ulaya, asema Merkel
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wameangazia zaidi leo (30.01.2014) katika hotuba aliyoitoa kansela Angela Merkel bungeni jana, pamoja na hotuba ya rais Barack Obama kuhusu hali ya taifa la Marekani.
View ArticleSteinmeier ataka Ujerumani ijihusishe zaidi kupambana na mizozo
Ujerumani ni kubwa mno, kuweza kuzungumzia sera za dunia pekee, anasema waziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier. Kuna umuhimu wa kuwa na msimamo maalum, licha ya kuwa dunia...
View Article