Leo Rais Mahmoud Ahmedinejad anatembelea Kusini mwa Lebanon, kwenye ngome ya Hizbullah katika ziara inayochukuliwa kuwa na utata sana, hasa panapohusika mahusiano mabaya yaliyopo kati ya Iran na Israel
↧